Ed alifungua shoo na kibao cha 'Castle on the hill' ngoma mpya kabisa ya mwaka 2017 ikifuatiwa na 'Eraser na A Team'
kabla ya shoo ed alisema haya
'Kwa wale ambao hamjui nyimbo zangu basi jifanyeni mnazijua na wale ambao mnazijua basi tuimbe wote neno baada ya neno kwa sababu leo tumekuja kupoteza sauti ze

0 comments:
Post a Comment